Pambano Kuu Kugawana (Swahili)

ISBN: 9798400300127

This product does not qualify toward the free shipping offer. Shipping charges may apply.

  $8.49
"Pambano Kuu" haliweki bayana chanzo cha uharibifu wa mwanadamu tu, bali pia hufunua mapambano mazito mno yanayosababisha magonjwatandavu na hatari, uharibifu na mauaji ya halaiki, vifo na ghasia. Katika kitabu hiki cha kustaajabisha utagundua kwamba uovu una mwonekano, wema una shujaa wake, na dhambi ina mwisho. Kama unataka kufanya maandalizi kwa ajili ya mwisho wa dunia hii na kwa ulimwengu wa utukufu unaokuja, inakupasa kusoma kitabu hiki.

Description / Pambano Kuu Kugawana (Swahili)

 

Je unadhani dunia inaimarika au inaharibika zaidi?

Si ajabu, idadi kubwa mno ya watu leo wanaamini kuwa dunia inazidi kuharibika. Huenda hii hali ya kukata tamaa kote ulimwenguni ni matokeo ya utamaduni uliosheheni mno habari mbaya, au bila shaka kwa asili tunajua ukweli wa kuogofya mno uliomo katika kiini cha kitabu hiki: Kuna kitu hakiko sawa kabisa katika sayari yetu na sisi hatuna uwezo wa kukitatua.

"Pambano Kuu" haliweki bayana chanzo cha uharibifu wa mwanadamu tu, bali pia hufunua mapambano mazito mno yanayosababisha magonjwa tandavu na hatari, uharibifu na mauaji ya halaiki, vifo na ghasia. Katika kitabu hiki cha kustaajabisha utagundua kwamba uovu una mwonekano, wema una shujaa wake, na dhambi ina mwisho. Kama unataka kufanya maandalizi kwa ajili ya mwisho wa dunia hii na kwa ulimwengu wa utukufu unaokuja, inakupasa kusoma kitabu hiki.


THE GREAT CONTROVERSY (SHARING) ITALIAN

Do you think the world is getting better or worse?

Unsurprisingly, a huge majority of people today believe the world is getting worse. Maybe this global pessimism is the result of a culture bathed in bad news, or maybe we inherently know the earthshaking truth presented at the heart of this book: Something is deeply wrong with our planet, and we are powerless to fix it.

The Great Controversy not only unveils the origin of human degradation but also discloses the titanic struggle raging below the din of pandemics and peril, corruption and carnage, murder and mayhem. In this astonishing work, you will discover that evil has a face, good has a Champion, and sin has an end. If you want to prepare for the end of this world and the glorious world to come, you must read this book.

More Information

Item Format Paperback
Author Name Ellen G. White
Publisher Review and Herald Publishing
Weight (lbs) 1.440000
Page Count 552
Language Other
Year Published 2023
Write Your Own Review
You're reviewing: Pambano Kuu Kugawana (Swahili)
loader
Loading...

check-circle You submitted your review for moderation.

This form is protected by reCAPTCHA - the Google Privacy Policy and Terms of Service apply.

MORE ITEMS FROM Ellen G. White

Scroll To Top